1 Samweli 2:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200228 Kati ya makabila yote ya Israeli nilimuchagua Haruni na jamaa yake kuwa makuhani wangu, wanitumikie kwenye mazabahu, wafukize ubani na kuvaa kizibao mbele yangu. Nikaipatia jamaa ya babu yako sadaka zangu ambazo Waisraeli walinitolea kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |