1 Samweli 19:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Mimi nitakuja na kusimama karibu na baba yangu kule katika shamba pahali utakapokuwa. Pale nitaongea naye juu yako, na kitu chochote nitakachogundua kutoka kwake, nitakuelezea.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |