1 Samweli 19:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Halafu Saulo akamwuliza Mikali: “Kwa nini umenidanganya? Umemwacha adui yangu atoroke?” Naye Mikali akamujibu Saulo: “Aliniambia: ‘Uniache niende kusudi nisipate kukuua.’ ” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Herode alipoona kwamba wale watu wenye elimu wamemudanganya, akakasirika sana. Akatuma watu Betelehemu na popote kandokando yake kwa kuua watoto wote waliokuwa na umri wa miaka miwili na chini yake. Alifanya vile kufuatana na jinsi alivyohakikishwa na wale wenye elimu juu ya wakati nyota ilipotokea.