16 Wale watu walipoingia ndani ya nyumba ya Daudi na kukiangalia kitanda, waliona kuna sanamu na kiegemeo cha manyoya ya mbuzi kwenye kichwa.
Mikali akatwaa sanamu, akailalisha kwenye kitanda na kwenye kichwa chake akaweka kiegemeo cha manyoya ya mbuzi. Kisha akafunika kwa nguo.
Kisha Saulo akawatuma warudie kule tena, akawaagiza akisema: “Mumulete Daudi kwangu hata akiwa katika kitanda kusudi auawe.”
Halafu Saulo akamwuliza Mikali: “Kwa nini umenidanganya? Umemwacha adui yangu atoroke?” Naye Mikali akamujibu Saulo: “Aliniambia: ‘Uniache niende kusudi nisipate kukuua.’ ”