1 Samweli 19:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Usiku ule, Saulo akatuma watu kwenye nyumba ya Daudi wamwangalie kama yuko kusudi apate kumwua asubui. Lakini Mikali muke wa Daudi akamwambia Daudi: “Kama hauopoi maisha yako usiku huu, kesho utauawa.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |