1 Samweli 17:51 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200251 Basi, akaenda mbio, akasimama juu ya Goliati, akachomoa upanga wa Goliati toka katika mufuko wake, akamwua Goliati kwa kumukata kichwa chake. Wafilistini walipoona kwamba shujaa wao ameuawa, wakakimbia mbio. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |