1 Samweli 17:46 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200246 Siku ya leo, Yawe atakutia katika mikono yangu. Nitakushinda, nitakukata kichwa chako; na miili ya waaskari wa Wafilistini nitawapa ndege na nyama wa pori. Halafu dunia nzima itajua kwamba Mungu yuko katika Israeli. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |