1 Samweli 17:39 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200239 Daudi akajifunga upanga wa Saulo, akajaribu kutembea; lakini akashindwa kwa sababu hakuzoea nguo kama hizo. Akamwambia Saulo: “Siwezi kwenda katika vita nikiwa nimevaa nguo hizi, maana mimi sijazizoea.” Kwa hiyo, akazivua. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |