Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Samweli 17:31 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

31 Watu fulani ambao walimusikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Saulo. Naye Saulo akaagiza aitwe.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Samweli 17:31
3 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kuna mutu mwenye akili na maarifa ndani ya kazi? Yule atawatumikia wafalme; hatawatumikia watu wasiofaa.


Daudi akamugeukia mutu mwingine, akamwuliza neno lilelile; na kila mara alipouliza, alipata jibu lilelile.


Daudi akamwambia Saulo: “Mutu yeyote asitishike ndani ya moyo wake kutokana na Mufilistini huyu. Mimi mutumishi wako nitakwenda kupigana naye.”


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ