Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Samweli 17:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

13 Wana wakubwa watatu wa Yese, Eliabu muzaliwa wa kwanza, Abinadabu aliyefuata na Shama wa tatu, walikuwa wamekwenda pamoja na Saulo kwenye vita.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Samweli 17:13
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Lakini Amunoni alikuwa na rafiki aliyeitwa Yonadabu, mwana wa Shama, ndugu ya Daudi. Yonadabu alikuwa mutu mwerevu sana.


Lakini Yonadabu mwana wa Simea, ndugu ya Daudi akamwambia: “Bwana wangu, usifikiri kwamba wana wako wote wameuawa. Amunoni pekee ndiye aliyeuawa. Abusaloma alikusudia kuyafanya mambo haya tangu wakati ule Amunoni alipomukamata dada yake Tamari kwa kinguvu na kulala naye.


Alipowachekelea Waisraeli, Yonatani mwana wa Simei, ndugu ya Daudi, alimwua.


Yese alizaa: Eliabu, muzaliwa wake wa kwanza, wa pili Abinadabu, wa tatu Simea,


Lakini Eliabu, kaka mukubwa wa Daudi alipomusikia Daudi akiongea na watu, alimukasirikia Daudi, akasema: “Kwa nini umekuja? Wale kondoo wachache umemwachia nani kule katika mbuga? Ninajua majivuno yako na uovu wa moyo wako. Umekuja tu kutazama vita.”


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ