1 Samweli 16:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Samweli akawajibu: “Nimekuja kwa amani. Nimekuja kumutolea Yawe sadaka. Mujitakase wenyewe halafu tuende kutolea sadaka.” Samweli akamutakasa Yese pamoja na wana wake, akawakaribisha kwenye sadaka. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |