1 Samweli 16:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Kila mara, yule roho mwovu kutoka kwa Mungu alipomufikia Saulo, Daudi alitwaa kinubi chake na kuanza kukipiga, na roho yule alimwacha Saulo, naye akajisikia vizuri na kupata utulivu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |