1 Samweli 15:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Lakini Saulo na watu wake hawakumwua Agagi, kondoo bora kabisa, ngombe wazuri, wana-ngombe, wana-kondoo na chochote kile kilichokuwa kizuri hawakukiangamiza. Lakini vitu vyote vibaya na visivyokuwa vya bei kali waliviangamiza. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |