1 Samweli 14:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200227 Lakini Yonatani hakusikia wakati baba yake alipowaapiza watu. Halafu akainua fimbo aliyokuwa nayo, akaichovya kwenye sega la asali, akakula asali hiyo. Hapo akajisikia kuwa na nguvu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |