1 Samweli 14:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200219 Saulo alipokuwa angali anaongea na kuhani, fujo katika kambi ya Wafilistini iliongezeka zaidi na zaidi. Kwa hiyo Saulo akamwambia kuhani: “Acha. Usililete tena Sanduku la Agano.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |