1 Samweli 14:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Saulo akawaambia watu waliokuwa pamoja naye: “Basi mujihesabu kwa kujua ni nani waliotutoroka.” Walipojihesabu, waligundua kwamba Yonatani na kijana aliyemubebea silaha walikuwa hawapo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |