Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Samweli 14:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

14 Katika mashambulizi hayo ya kwanza, Yonatani akiwa pamoja na kijana wake aliyemubebea silaha, aliwaua watu yapata makumi mbili katika eneo kidogo tu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Samweli 14:14
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Hata sasa amekwisha kujificha katika pango moja au nafasi ingine. Ikiwa tu katika mashambulizi ya mwanzo kunakufa watu kati yetu, habari itasambaa kwamba wafuasi wa Abusaloma wameshindwa vibaya.


Samusoni akaona mufupa mubichi wa taya ya punda, akautumia kuwaua watu elfu moja.


Kisha Abimeleki akamwita haraka kijana wake aliyemubebea silaha akamwambia: “Twaa upanga wako uniue, watu wasipate kusema kwamba niliuawa na mwanamuke.” Kijana akatwaa upanga wake, akamuchoma na kumwua.


Basi, Yonatani akapanda akitembea kwa miguu na mikono, na yule kijana akamufuata. Yonatani aliwashambulia Wafilistini akiwaangusha chini na yule kijana alifuata nyuma akiwaua.


Kulikuwa hofu kubwa katika kambi ya Wafilistini. Wote walianza kufazaika: waaskari katika kambi, watu katika mashamba kwenye kambi, hata na washambulizi. Inchi ilitetemeka. Hofu ilikuwa kubwa sana.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ