1 Samweli 14:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Basi, Yonatani akapanda akitembea kwa miguu na mikono, na yule kijana akamufuata. Yonatani aliwashambulia Wafilistini akiwaangusha chini na yule kijana alifuata nyuma akiwaua. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |