1 Samweli 12:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Sasa musimame palepale munapokuwa kusudi mimi na ninyi tuhukumiwe mbele ya Yawe, nami nitawahutubia juu ya matendo yake ya ajabu ambayo aliyatenda kwa kuwaokoa ninyi na babu zenu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |