1 Samweli 10:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Utanitangulia kwenda Gilgali, pahali ambapo nitakukuta na kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani. Utaningojea pale kwa muda wa siku saba mpaka nikuje na kukuonyesha la kufanya.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |