1 Samweli 10:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Kisha, utafika kule Gibeati-Elohimu, pahali ambapo pana kambi ya waaskari wa Wafilistini. Pale, utakapokuwa unakaribia muji, utakutana na kundi la manabii. Manabii hao watakuwa wanatoka kwenye nafasi ya kuabudia na wakipiga vinubi, matari, filimbi na zeze, na watakuwa wanatabiri. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |