1 Samweli 1:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Kila mwaka Elekana alisafiri kutoka Rama kwenda kuabudu na kumutolea Yawe wa majeshi sadaka kule Shilo. Kule, wana wawili wa Eli, Hofuni na Finehasi, walikuwa makuhani wa Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |