Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Mambo ya Siku 7:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

8 Wana wa Bekeri walikuwa: Zemira, Yoasi, Eliezeri, Eliehonai, Omuri, Yeremoti, Abiya, Anatoti na Alemeti. Wote hawa ni wazao wa Bekeri.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Mambo ya Siku 7:8
3 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wana wa Benjamina walikuwa Bela, Bekeri, Asibeli, Gera, Namani, Ehi, Rosi, Mupimu, Hupimu na Ardi.


Bela alikuwa na wana watano: Esiboni, Usi, Usieli, Yeremoti na Iri. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa zao, na waaskari mashujaa. Walioandikwa kwa kufuata ukoo na hesabu ya wazao wao ilikuwa elfu makumi mbili na mbili na makumi tatu na wane.


Waliandikishwa kwa ukoo kulingana na vizazi vyao kama viongozi wa jamaa zao, na hesabu ya wazao wao ilikuwa elfu makumi mbili na mia mbili, wote wakiwa mashujaa wa vita.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ