Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Mambo ya Siku 7:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Benjamina alikuwa na wana watatu: Bela, Bekeri na Yediaeli.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Mambo ya Siku 7:6
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wana wa Benjamina walikuwa Bela, Bekeri, Asibeli, Gera, Namani, Ehi, Rosi, Mupimu, Hupimu na Ardi.


Ndugu zao katika jamaa zote za kabila la Isakari walioandikwa kwa kufuata ukoo, walikuwa elfu makumi munane na saba, na wote walikuwa mashujaa wa vita.


Bela alikuwa na wana watano: Esiboni, Usi, Usieli, Yeremoti na Iri. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa zao, na waaskari mashujaa. Walioandikwa kwa kufuata ukoo na hesabu ya wazao wao ilikuwa elfu makumi mbili na mbili na makumi tatu na wane.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ