13 Nafutali alikuwa na wana wane: Yazieli, Guni, Yereri na Salumu. Hao walikuwa wazao wa Biliha.
Wakati Israeli alipokuwa anakaa katika inchi ile, mwana wake Rubeni, akalala na Biliha, habara ya baba yake. Naye Israeli akasikia habari hizo. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili.
Supimu na Hupimu walikuwa wana wa Iri. Husimu alikuwa mwana wa Aheri.
Manase alikuwa na wana wawili kutoka kwa habara yake Mwaramu: Asirieli na Makiri. Makiri alikuwa baba ya Gileadi