Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Mambo ya Siku 7:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Wote hawa walikuwa wakubwa wa jamaa katika ukoo zao na waaskari mashujaa wa vita. Kutokana na wazao wao, kulipatikana wanaume elfu kumi na saba na mia mbili, waaskari hodari tayari kabisa kwa vita.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Mambo ya Siku 7:11
3 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Mwana wa Yediaeli alikuwa: Bilihani. Wana wa Bilihani walikuwa: Yeusi, Benjamina, Ehudu, Kenana, Zetani, Tarsisi na Ahisahari.


Supimu na Hupimu walikuwa wana wa Iri. Husimu alikuwa mwana wa Aheri.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ