7 Hela akamuzalia wana watatu: Zereti, Izihari na Etinani.
Nara akamuzalia wana wane: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Ahastari.
Hakosi alizaa Anubu na Zobeba, na ndiye aliyekuwa baba wa jamaa za wazao wa Aharheli mwana wa Harumu.