32 Benjamini, Maluki na Shemaria.
Kula chivyazi cha Harimu kala ni Eliezeri, Ishia, Malikija, Shemaya, Simioni,
Kula chivyazi cha Hashumu kala ni Matenai, Matata, Zabadi, Elifeleti, Jeremai, Manase na Shimei.