33 Na ana a Jafuleti ni Pasaki, na Bimuhali, na Ashivathi. Hinyo ndinyo ana a Jafuleti.
Na Heberi achivyala Jafuleti, na Shomeri, na Hothamu, na mwanao wao mchetu Shuwa.
Na ana a Shemeri ni Ahi, na Roga, na Jehuba, na Aramu.