42 Adaya mwana wa Ethani, Ethani mwana wa Zima, Zima mwana wa Shimei,
Malikija mwana wa Ethini, Ethini mwana wa Zera, Zera mwana wa Adaya,
Shimei mwana wa Jahathi, Jahathi mwana wa Gerishomu, Gerishomu mwana wa Lawi.