36 Amasai mwana wa Elikana, Elikana mwana wa Joeli, Joeli mwana wa Azaria, Azaria mwana wa Zefania,
Toa mwana wa Sufu, Sufu mwana wa Elikana, Elikana mwana wa Mahathi, Mahathi mwana wa Amasai,
Zefania mwana wa Tahathi, Tahathi mwana wa Asiri, Asiri mwana wa Ebiasafu, Ebiasafu mwana wa Kora,