36 Elioenai, Jaakoba, Jeshohava, Asaya, Adieli, Jesimieli, Benaya,
Joeli, Jehu mwana wa Joshibia mwana wa Seraya, mwana wa Asieli,
Ziza mwana wa Shifi, mwana wa Aloni, mwana wa Jedaya, mwana wa Shimuri, mwana wa Shemaya.