22 ya kumi na tsano Jeremothi, anae na nduguze kumi na airi,
ya kumi na ne, Matithia, anae na nduguze kumi na airi,
ya kumi na sita Hanania, anae na nduguze kumi na airi,
Na a Hemani kala ni Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli, Jerimothi; Hanania, Hanani, Eliatha, Gidaliti, Romamuti-Ezeri; Joshibekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi.