8 Kivalwa cha Paroshi wandu elfu iwi ighana na mirongo mfungade na wawi.
Rehumu, Hashabina, Maaseia,
Vilongozi va wandu ni Peroshi, Pahath-moabu, Elamu, Zatu, Bani,
mwana wa Shekamia, Zekaria wa Kichuku cha Paroshi uo oreandikiloghe andwamweri na wandu ighana na mirongo misanu.
Kichuku cha Paroshi, wandu elfu iwi ighana jimweri na mirongo mfungade na wawi.
Wa Waisraeli wazima ni awa: Kichuku cha Paroshi: Ramia, Izia, Malkija, Mijamini, Eliazari, Malkija na Benaia.
Vilongozi vawo verekoghe Zerubabeli, na Joshua, na Nehemia, na Azaria, na Raamia, Nahamani, na Mordekai, na Bilshani, na Misperethi, na Bigvai, na Nehemu, na Baana. Ughu nigho mtalo ghwa wandu wa womi wa Israeli werewurieghe wubarishonyi:
Kivalwa cha Shefatia, maghana adadu na mirongo mfungade na wawi.