Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




NEHEMIA 11:31 - Biblia Ilagho Jiboie Kwa Wandu Wose

31 Wandu wa kichuku cha Benjamini werekaieghe Geba Mikmashi, na Ai, na Betheli na mizi mitini iko kaavui.

Gade chapit la Kopi




NEHEMIA 11:31
14 Referans Kwoze  

Majeshi gha mredi wuda ghajoka kufuma Rimoni, na kungia Ayathi! Waidiria aghadi ya Migroni na kuwika vilambo vawo aja Mikmashi.


Samueli ukamzera, “Kwabonya wada?” Sauli ukatumbulia, “Niendawona wandu wazoya kusasarika na kunisigha, na ii chia nako oho ndekuchee andenyi ya agho matuku korelaghirieghe, sena na Wafilisti wakwanyika Mikmashi,


Kefar-amoni, Ofni, na Geba; mizi ikumi na iwi chiaimweri na mizi yaro mitini.


Ugho mpaka ghukaenda hata mshoromotonyi chia ya kusinyi ya Luzu (nigho Betheli) ghukasea hata Ataroth-ada, aighu mghondinyi kusinyi cha Beth-horoni Ya Isi.


Joshua ukawiduma, nawo wikaghenda na kukuvisa, wikakaia ghadi na ghadi ya Betheli na Ai cha magharibi ya Ai, ela kio chija Joshua ukalala aghadi ya wandu.


Ukakuwanga andu aja, Betheli, ela koimbiri muzi ugho ghorewangwaghwa Luzu.


Kufuma aho ukaghenda hata mghondinyi ghuko mashariki ya Betheli, ukaidunga hema yake aho. Betheli erekoghe cha magharibi, na Ai erekoghe cha mashariki; ukamuaghia BWANA madhabahu aho, ukajiwangia irina ja BWANA.


Wafilisti wikafuma ngomenyi kwawo kwendalindia mwanya ghwa Mikmashi.


Nao Sauli ukasaghua wandu elfu idadu. Uo moni ukakaianya na wandu elfu iwi aho Mikmashi na isanga ja mighondinyi ja Betheli; na wandu elfu imweri wikakaianya na Jonathani aja Gibea ya kichuku cha Benjamini; na wandu wazima wose ukawizera wighale kula mundu cha mzinyi kwake.


andenyi ya Zanoa, na Adulamu na mizi iko kaavui nayo. Lakishi na mbuwa raro ra kaavui, na Azeka na mizi yaro. Huwo ni kughamba wandu wa Juda werekaieghe masanga gha Hinomu cha kaskazinyi.


Na Anathothi, na Nobu, na Anania,


Beth-araba, Zemaraimu, Betheli,


na kufuma Beth-gilgali, na chia ra geba na Azmawethi, angu wabori wereaghieghe mizi mitini-mitini mbai mbai ya Jerusalemu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite