ZAKARIA 7:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Wakaifanya mioyo yao kuwa migumu kama jiwe, wasipate kusikia sheria yangu mimi Yawe wa majeshi niliyoitangaza kwa roho yangu kwa kupitia manabii waliotangulia. Kwa hiyo, mimi Yawe wa majeshi nikawaka hasira juu yao, Gade chapit la |