ZAKARIA 6:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Lile gari linalokokotwa na farasi weusi linakwenda upande wa kaskazini, lile linalokokotwa na farasi weupe linakwenda upande wa magaribi, na lile linalokokotwa na farasi wa kijivujivu linakwenda upande wa kusini. Gade chapit la |