ZAKARIA 6:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Pokea zawadi za watu wanaokuwa katika uhamisho zilizoletwa na Heldai, Tobia na Yedaya. Kwenda leo hii katika nyumba ya Yosia mwana wa Zefania ambamo watu hao wamekwenda mbele ya kufika kutoka Babeli. Gade chapit la |
Watawarudisha wandugu zenu wote kutoka katika mataifa yote kama matoleo yangu mimi Yawe. Watawaleta juu ya farasi, juu ya nyumbu, juu ya ngamia na ndani ya magari na juu ya vipoyi mpaka Yerusalema, kwenye mulima wangu mutakatifu. Watawaleta kama Waisraeli wanavyoleta sadaka ya unga katika chombo safi mpaka ndani ya nyumba yangu mimi Yawe.