15 Mataifa mengi yatajiunga nami Yawe, nao watakuwa watu wangu; nami nitakaa kati yenu. Halafu mutajua kwamba Yawe wa majeshi ndiye aliyenituma kwenu.