ZAKARIA 14:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Lakini juu ya wale watu ambao walikuja kupigana na Yerusalema, hizi ndizo hasara ambazo Yawe atawaletea: Miili yao itaoza wangali wazima; macho yao yataoza yakiwa kwenye matundu yake na ndimi zao zitaoza zikiwa katika vinywa vyao. Gade chapit la |