ZAKARIA 12:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 ukoo wa Lawi peke yake na ukoo wa Simei peke yake. Gade chapit la |
Simei alikuwa na wana kumi na sita na wabinti sita, lakini wandugu zake hawakukuwa na wana wengi, na jamaa yake vilevile haikuongezeka kama kabila la Yuda. Miji walimokuwa wakiishi mpaka wakati wa utawala wa mufalme Daudi ilikuwa: Beri-Seba, Molada, Hasari-Suali, Biliha, Ezemi, Toladi, Betueli, Horma, Ziklagi, Beti-Makaboti, Hasari-Susimu, Beti-Biri na Sarayimu, Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Asani, pamoja na vijiji kandokando ya miji hiyo mpaka Bali. Hayo ndiyo yaliyokuwa makao yao, nao wakaandika majina yao katika vitabu vya vizazi vyao.