ZAKARIA 10:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Nitawaimarisha watu wa Yuda; nitawaokoa wazao wa Yosefu. Nitawarudisha kwao kwa maana ninawaonea huruma, nao watakuwa kama vile sikuwa nimewakataa. Mimi ni Yawe, Mungu wao, nami nitayasikiliza maombi yao. Gade chapit la |