Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Zaburi 102:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

5 Nimepondekana kama majani na kunyauka; sina hata hamu ya chakula.

Gade chapit la Kopi




Zaburi 102:5
10 Referans Kwoze  

Mwili wangu umebakia tu mifupa na ngozi, nimeponyoka kisha kupoteza yote.


Sasa sura zao ni nyeusi kuliko makaa, wanapita katika barabara bila kujulikana; ngozi yao imebanana na mifupa yao, imekauka, imekuwa kama kuni.


Moyo wenye furaha ni dawa, lakini moyo wenye huzuni unakondesha mwili.


Macho yangu yamechoka kwa huzuni; yamefifia kwa kutaabishwa na waadui.


Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; katika kuzimu ni nani anayeweza kukusifu?


Mambo hayo yaliendelea kila mwaka. Kila mara Hana alipokwenda kwenye nyumba ya Yawe, Penina alimukasirikisha Hana hata Hana akalia na kukataa kula chochote.


Anachanua kama maua, kisha ananyauka. Anakimbia kama kivuli na kutoweka.


asubui yanachipuka na kuchanua, magaribi yamekwisha nyauka na kukauka.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite