Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoshua 21:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

8 Waisraeli wakawapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Yawe alivyomwagiza Musa.

Gade chapit la Kopi




Yoshua 21:8
11 Referans Kwoze  

Basi, kulingana na amri ya Yawe, Waisraeli walichagua kutoka katika maeneo ya inchi zao, miji na vijiji vya malisho, wakawapa Walawi ikuwe sehemu yao.


Kura inakomesha ubishi; inaamua kati ya wakubwa wanaopingana.


Kura inapigwa kwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wa Yawe.


Mutayarishe maelezo kamili juu ya sehemu zote saba na kuniletea. Hapo, nitapiga kura mbele ya Yawe, Mungu wetu, juu ya sehemu ya kila kabila lenu.


Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa mule na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ngombe na mifugo yao pamoja na nyama wao wengine.


Mutagawanya inchi hiyo kwa kura kufuata jamaa zenu; eneo kubwa kwa kabila kubwa na eneo dogo kwa kabila dogo.


wakawaendea Musa, kuhani Eleazari na viongozi wa Waisraeli, wakawaambia:


“Simeoni na Lawi ni wandugu: wanatumia silaha zao kutesa kwa ukali,


Jamaa za ukoo wa Merari wakapewa miji kumi na miwili katika maeneo ya makabila ya Rubeni, Gadi na Zebuluni.


Haya ndiyo majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa


Ninalaani hasira yao kali sana na kasirani yao isiyokuwa na huruma. Nitawatawanya katika inchi ya Yakobo, nitawasambaza katika inchi ya Israeli.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite