Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoshua 21:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

7 Jamaa za ukoo wa Merari wakapewa miji kumi na miwili katika maeneo ya makabila ya Rubeni, Gadi na Zebuluni.

Gade chapit la Kopi




Yoshua 21:7
8 Referans Kwoze  

Katika kabila Rubeni, upande wa mashariki ya muto Yordani karibu na muji wa Yeriko walipewa Bezeri unaokuwa katika inchi ya vilima pamoja na mashamba yake ya malisho, Yahasa pamoja na mashamba yake ya malisho,


Wana wa Merari kwa kufuata jamaa zao: Mali na Musi. Hizi zilikuwa jamaa za Walawi kulingana na ukoo zao.


Wana wa Merari walikuwa: Mali na Musi. Hao ndio babu za jamaa za Walawi.


Watu wa ukoo wa Gersoni wakapewa kwa kura miji kumi na mitatu katika maeneo ya makabila ya Isakari, Aseri, Nafutali na katika eneo la nusu ya kabila la Manase kule Basani.


Waisraeli wakawapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Yawe alivyomwagiza Musa.


Jamaa za Merari zilizobakia, zilipewa miji hii pamoja na mashamba yake ya malisho kandokando ya miji hiyo. Katika kabila la Zebuluni walipewa Rimono pamoja na mashamba yake ya malisho na Tabori pamoja na mashamba yake ya malisho.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite