Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoshua 21:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

34 Walawi wengine waliobaki, ni kusema wazao wa Merari, walipewa miji katika eneo la kabila la Zebuluni. Nayo ni Yokinamu pamoja na mbuga zake za malisho, Karta pamoja na mbuga zake za malisho,

Gade chapit la Kopi




Yoshua 21:34
9 Referans Kwoze  

Jamaa za ukoo wa Merari wakapewa miji kumi na miwili katika maeneo ya makabila ya Rubeni, Gadi na Zebuluni.


Ukakusanya miji ya Katati, Nahalali, Simuroni, Idala na Betelehemu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.


Kutokea kule mupaka wake ulikwenda upande wa magaribi hata Marali, ukapitia pembeni ya Dabeseti na kwenda kwenye kijito kinachokuwa upande wa mashariki wa Yokinamu.


mufalme wa Kedesi, mufalme wa Yokinamu muji unaokuwa kwenye mulima Karmeli,


Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gersoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.


Dimuna pamoja na mbuga zake za malisho na Nahalali pamoja na mbuga zake za malisho. Kwa jumla, miji mine.


Katika kabila Rubeni, upande wa mashariki ya muto Yordani karibu na muji wa Yeriko walipewa Bezeri unaokuwa katika inchi ya vilima pamoja na mashamba yake ya malisho, Yahasa pamoja na mashamba yake ya malisho,


Vilevile, miji kumi na miwili katika kabila la Rubeni, na katika kabila la Gadi na katika kabila la Zebuluni ilipewa ukoo wa Merari kulingana na jamaa zao.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite