Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoshua 10:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 Nyuma ya kutembea kutoka Gilgali usiku kucha, Yoshua akawatokea kwa rafla.

Gade chapit la Kopi




Yoshua 10:9
9 Referans Kwoze  

Ushiriki katika mateso kama vile askari mwema wa Kristo Yesu.


Kila kitu unachotaka kufanya ukifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima kule katika kuzimu unakokwenda.


Kuna mutu mwenye akili na maarifa ndani ya kazi? Yule atawatumikia wafalme; hatawatumikia watu wasiofaa.


utangaze Neno la Mungu kwa nguvu kwa wakati unaofaa na kwa wakati usiofaa. Ukaripe, usahihishe na kuonya ukifundisha kwa uvumilivu.


Yawe akamwambia Yoshua: “Usiwaogope hata kidogo maana nimewatia katika mikono yako, wala hakuna hata mumoja atakayeweza kukushinda.”


Naye Yawe akawatia hofu kubwa mbele ya Waisraeli ambao waliwaua watu wengi kule Gibeoni wakiwakimbia kwenye njia ya muteremuko wa Beti-Horoni mpaka Azeka na Makeda ambako vilevile waliwaua watu wengi sana.


Basi, kwa rafla kwenye chemichemi ya Meromu, Yoshua pamoja na waaskari wake wote akawatokea na kuwashambulia.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite