7 Lakini kesho yake kulipopambazuka, Mungu akaamuru mududu uharibu mumea huo. Ukanyauka.
Mizabibu imenyauka, mitini imekauka, miti yote ya matunda imekauka. Furaha imetoweka kati ya watu.
Majivu yamekuwa chakula changu, machozi yanachangana na kinywaji changu,
akisema: Nilikuja uchi katika dunia, nitaondoka uchi katika dunia. Yawe amenipa, Yawe ametwaa. Jina la Yawe litukuzwe.
Mungu, Yawe akaamuru mumea uote na kukomaa. Akauotesha kwa kumupatia Yona kivuli cha kumupunguzia taabu aliyokuwa nayo. Yona akaufurahia sana mumea huo.