Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yona 2:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 akisema: Kwa sababu ya taabu yangu, nilikuomba, ee Yawe, nawe ukanisikiliza; toka chini kuzimu, nilikulilia, nawe ukasikiliza kilio changu.

Gade chapit la Kopi




Yona 2:3
11 Referans Kwoze  

Roho yangu imeregea kabisa, kwa hiyo ninakukumbuka wewe, ee Mungu, kutoka katika eneo la Yordani, kutoka mulima Hermoni na Mizari.


Maji yalianza kunifunika kichwa, nami nikafikiri: Huu ni mwisho wangu.


Mawimbi ya kifo yalinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinishambulia,


Ninamupenda Yawe, kwa maana ananisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu.


Yeye amenitegea sikio, hivyo nitamwomba muda wote wa maisha yangu.


Wimbo wa safari za kidini. Katika taabu yangu nilimwita Yawe, naye akanijibu.


Kutoka chini ndani ya shimo, nilikulilia ee Yawe.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite