2 Sikukuu moja ya Wayuda inayoitwa Sikukuu ya Vibanda ilipokuwa karibu,
Wakafanya sikukuu ya vibanda kama ilivyoandikwa katika Sheria; kila siku walitoa sadaka za kuteketezwa kwa moto zilizohitajika kwa ajili ya siku hiyo.
Naye Solomono kwa muda wa siku saba alifanya sikukuu pamoja na Waisraeli wote. Nao walitoka tangu kwenye kiingilio cha Hamati, mpaka muto wa Misri.
Halafu watu hao wote wakakusanyika mbele ya mufalme Solomono wakati wa sikukuu ya mwezi wa Etanimu, ni kusema mwezi wa saba.